Wauza mahindi ya kuchoma wanapiga maokoto sana

Ona huyu.

Mahindi mengi 90% ya Dar yananunuliwa Soko la Simu 2000 (Mawasiliano).

Huletwa na magari kutoka Iringa, Mbeya, Kenya na Moshi.

Binafsi, hii ni moja ya kazi nitakayoifanya iwapo ya sasa itakoma.
Unayatoa wapi hayo mahindi mtaji kiasivgani
 
Kuna aliyetajirika kwa biashara hii?

NB: tusitoke kwenye reli the goal is to be successful
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…