Wauza Mbao kutoka Msumbiji

Wauza Mbao kutoka Msumbiji

Edylux

Member
Joined
Mar 30, 2009
Posts
48
Reaction score
9
Salaams wana JF,

Tafadhalini sana, naomba ambaye ana contact za wauza mbao wa Msumbiji,
au wa TZ wanao import mbao kutoka Msumbiji, anipatie.

Nahitaji Mahogany, Afrormosia, Mninga, Panga panga na Teak (mtiki) :

Size; (1" - 4") x (10" - 12") x (8' - 10').
unene; upana; urefu.

Kwa kuanzia nahitaji cubic meter 20 za kila aina.

Naomba bei hadi kiwandani/bandarini Dar kwa cubic meter au kwa ubao, na utaratibu wa malipo.

Ahsanteni,

Mkuu habari, bado unafanya biashara ya Mbao ngumu please contact me 0718783518
 
Back
Top Bottom