I AM NO ONE
JF-Expert Member
- Aug 7, 2020
- 389
- 576
Unajua issue sio kutoka unakuta anarudia kama mara kumi hiv HODII HODIII akijua kama ww umelala kumbe unafanya yako yan kunapatikana kakero flan hivKwani lazima utoke
We endelea kupiga show yako
Saa ngapi,kama ni saa kumi alfajiri kweli ni kero,,lakini saa tano asubuhi sio keroHao dawa ni kuwachunia tu wanaacha wenyewe, kuna mjinga alikuwa anakuja home kila asubuhi "wenyewe wenyewe" dah inakera!
Badala ya kwenda kununua mboga za majani sokoni nyinyi mnapenda vya urahisi kuletewa mpaka mlangoni, ndio maana mnawekewa sumu na wagomvi wenu mnakufa bila kujijua. Utawekaje mazoea na mtu wa barabarani kuwa anakuletea mboga kila siku?Za asubuhi members,
Jamani kuna haka katabia kakuletewa mboga nyumbani na wale wakina mama wajasiriamali; ni vyema wanapata hela na riziki lakini kuna tabia mtu anapiga hodi utasema anakudai kwa lisauti likubwa zito utasema sasa imekuwa ugomvi au nini.
Sasa mbaya zaidi ndiyo mda ambao unakuta mtu ndiyo upo na mkeo au demu wako.
Mnaoishi nao naomba muwape taarifa sio vizuri, wabishe hodi taratibu na muda wa kuuza mboga sio saa kumi na mbili kamili asubuhi, bado mapema sana hata mtu hujatoka kitandani aise na hujapanga kitu chochote.
hujaelewa mkuu kabisaa umekurupuka .... soma ulewe complaints zanguBadala ya kwenda kununua mboga za majani sokoni nyinyi mnapenda vya urahisi kuletewa mpaka mlangoni, ndio maana mnawekewa sumu na wagomvi wenu mnakufa bila kujijua. Utawekaje mazoea na mtu wa barabarani kuwa anakuletea mboga kila siku?
Nimekuelewa vzr, hv muuza mboga atawezaje kuja kugonga kwako bila ya wewe kuwa na tabia ya kununua hizo mboga. lazima akuamshe mteja wakehujaelewa mkuu kabisaa umekurupuka .... soma ulewe complaints zangu
Death is everywhere ukanunue mboga urafik kariakoo sokoni ,hizi mbogo tunanunuaga toka miaka niko mtt mpka leo na maisha yanendelea tu mkuu.Nimekuelewa vzr, hv muuza mboga atawezaje kuja kugonga kwako bila ya wewe kuwa na tabia ya kununua hizo mboga. lazima akuamshe mteja wake
mimi nachunaga kabisaaaaaaaa yan na leo nimempa makavu nikamwambia dah mbona mapema ivo leoHao dawa ni kuwachunia tu wanaacha wenyewe, kuna mjinga alikuwa anakuja home kila asubuhi "wenyewe wenyewe" dah inakera!