Kila mtu ana aina ya biashara ya aina yake mwingine anahitaji nguo za watoto, mwingine za kiume mwingine za kike, ninapomwambia mtu njoo whatsapp ni tuweze kuulizana maswali yote hayo, hapa tutajaza uzi na km ukiangalia majibu kuna niloyemjibu bei ni kuanzia 650,000 kuja chini. kila aina ya nguo na bei yake, Nadhani nimeeleweka.
Shangaa au anafanya udalali au bei sio fixed maana wajinga ndo waliwaoSasa kama kila kitu unasema "NJOO WHATSAPP", sasa umeleta huku JF taarifa ya kazi gani..?? Si ungetusubiri huko huko whatsapp tuje...!!!!
Ukiweka bango la biashara, disclose details zote muhimu ili uache wanunuzi waamue. Sasa kila kitu unaficha, ukiulizwa unasema njoo watsapp.
Kila mtu ana aina ya biashara ya aina yake mwingine anahitaji nguo za watoto, mwingine za kiume mwingine za kike, ninapomwambia mtu njoo whatsapp ni tuweze kuulizana maswali yote hayo, hapa tutajaza uzi na km ukiangalia majibu kuna niloyemjibu bei ni kuanzia 650,000 kuja chini. kila aina ya nguo na bei yake, Nadhani nimeeleweka.
MNA ball za kilo ngapi Na je ni MX ? Au kama shati nishati tupu Na bei gani ball?Ni wauzaji wa mitumba kwa jumla (Mabalo), tunapatikana Mapambano karibu na Zahanati ya kijitonyama, tuna tunatuma Mikoa yote, kwa mawasiliano zaidi piga/Whatsapp number 0715559494. Karibuni sana (Kwa walio serious tu, km hauko serious waachie kwenye nia)
Mabalo ni ya 45Kg, Mixed niloyonayo ni ya suruali za kike tu. Bei zinategemea na aina ya nguo unazo hitaji, mfano Men Jeans 480,000? ladies' silk dress 550,000,/= ladies cotton dress 500,000/=MNA ball za kilo ngapi Na je ni MX ? Au kama shati nishati tupu Na bei gani ball?
Poa nitakuchekMabalo ni ya 45Kg, Mixed niloyonayo ni ya suruali za kike tu. Bei zinategemea na aina ya nguo unazo hitaji, mfano Men Jeans 480,000? ladies' silk dress 550,000,/= ladies cotton dress 500,000/=
Nina wasiwasi na customer care yenu, mana hiyo mikwara sio ya nchi hii.Ni wauzaji wa mitumba kwa jumla (Mabalo), tunapatikana Mapambano karibu na Zahanati ya kijitonyama, tuna tunatuma Mikoa yote, kwa mawasiliano zaidi piga/Whatsapp number 0715559494. Karibuni sana (Kwa walio serious tu, km hauko serious waachie kwenye nia)
sasa mbona umeeleza vizuri, kwenye biashara usifiche kitu weka wazi kila kitu ili upunguze maswali yasiyo ya msingiMabalo ni ya 45Kg, Mixed niloyonayo ni ya suruali za kike tu. Bei zinategemea na aina ya nguo unazo hitaji, mfano Men Jeans 480,000? ladies' silk dress 550,000,/= ladies cotton dress 500,000/=
Wewe dada vipi, weka vitu vyote kwenye uzi hapo juu ungeepusha maswali mengi,Kila mtu ana aina ya biashara ya aina yake mwingine anahitaji nguo za watoto, mwingine za kiume mwingine za kike, ninapomwambia mtu njoo whatsapp ni tuweze kuulizana maswali yote hayo, hapa tutajaza uzi na km ukiangalia majibu kuna niloyemjibu bei ni kuanzia 650,000 kuja chini. kila aina ya nguo na bei yake, Nadhani nimeeleweka.
Nuru bello LA vikoti vya like unazo?bei ganiMabalo ni ya 45Kg, Mixed niloyonayo ni ya suruali za kike tu. Bei zinategemea na aina ya nguo unazo hitaji, mfano Men Jeans 480,000? ladies' silk dress 550,000,/= ladies cotton dress 500,000/=
Tatizo kuna watu wengine wana utoto mwingi sana ndo mana wengi hawapendi kukereka nao ndio mana mleta uzi anakimbilia whtsupsasa mbona umeeleza vizuri, kwenye biashara usifiche kitu weka wazi kila kitu ili upunguze maswali yasiyo ya msingi
ladies fashion jacket ni 300,000/=Nuru bello LA vikoti vya like unazo?bei gani
Vinakuwa vingapi ,na kutoka nchi gani!ladies fashion jacket ni 300,000/=
Idadi siwezi kukadiria, mzigo ni wa 45kg, Mitumba nachukulia DubaiVinakuwa vingapi ,na kutoka nchi gani!
zinaweza kuwa 50 hadi 60 Au zaidi (makadirio) maana vikoti vinauzito mkubwa.on litaka kujua idadi hata kwa kukadiria tu ,nipige hesabu zangu,nawauziaga wanfunzi nave an a egemea boom