Miezi minne sasa jibu hamna!!!"NJOO WHATSAPP" na sisi tunakwambia njoo Jamiiforum. hipo hivi kama unaweza mkujibi kila mtu huko whatsapp huku jibu moja unawajibu maelfu.
Fanya hivi
wauzaji wa mitumba Grade A kwa jumla (Mabalo), tunapatikana Mapambano karibu na Zahanati ya kijitonyama,
Nguo za watoto Grade A (WAKIKE WA KIUME BEI...........?
Nguo za kiume( mashati ya kiume...............?
Nguo za kiume Jeans bei .......................?
Nguo za kiume suruali za kawaida kitambaa bei.........?
Nguo za Kike Blauzi and Top bei...........?
Nguo za kike Magauni .........?
Ngou za kike Sketi, bwanga na Pajama bei.....?
Nguo za kiume Tshirt bei......?
kama una nguo za ndani wanume au wanamwe bei ...?
Mokaba ya wanawake bei......?
Taja na nchi zinapotoka pia. Grade A za china ni tofauti na Grade A za EUROPE AU AMERIKA YA TRUMP
Duuh nomah!!
[emoji23][emoji23]Duuh nomah!!
Bac tuma namb za wasapHatuna mabalo ya viatu, kuna mabalo ya nguo za kike, zakiume chache, na hand bags
nahtaji xana napatkana mwanzaNi wauzaji wa mitumba kwa jumla (Mabalo), tunapatikana Mapambano karibu na Zahanati ya kijitonyama, tuna tunatuma Mikoa yote, kwa mawasiliano zaidi piga/Whatsapp number 0715559494. Karibuni sana (Kwa walio serious tu, km hauko serious waachie kwenye nia)
Ndio alikimbia mazima?"NJOO WHATSAPP" na sisi tunakwambia njoo Jamiiforum. hipo hivi kama unaweza mkujibi kila mtu huko whatsapp huku jibu moja unawajibu maelfu.