Mnazinguakinoma
Senior Member
- Dec 3, 2021
- 179
- 338
Habari za wikendi wakuu. kwa wale wafanyabiashara wa simu za jumla mimi natafuta mtu ambaye tutafanya nae biashara niwe nachukua simu kwake kwa bei ya jumla hata kama upo mkoani hasa wa iringa mjini au mafinga na makambako njoo inbox tuyajenge. Simu ndogo za batani ndo ninazotaka. Nawatakia wikendi njema. By kerebu kutoka nyanda za juu kusini.