Upo wapi kaka.Nnazo mbili lkn naziuza kwa laki 350 zote mbili, Lumia 630 na 620
Nipo DarUpo wapi kaka.
Weka specs zake zote....na useme ina tatizo gani
una roho mbaya kuliko mtoa rohoNanunua smart phon feki, kwa asilimia 10% ya bei yake
Mkuu, acha hasira, kama unayo sema ni biasharauna roho mbaya kuliko mtoa roho
Ushauza C8Anayehitaji tecno c8 bei ni 230k haipungui cm ipo sawa na mupyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kabisa nina shida na hiyo pesa mi nilichukua 300k keshi namba 0625 499022
mimi ninayo c8 kwa 250k nakupa na warranty yakeUshauza C8
Ina mda ganmimi ninayo c8 kwa 250k nakupa na warranty yake
mwez m1Ina mda gan
Copy hiyoWakuu msaada note2 n7100 null/null imei.