Wauza smartphone tukutane hapa

Wakuu nina mtaji kama 6m naweza anzisha duka la phone, naomba kupata mawazo yenu changamoto n.k
 
Nina Sony Xperia C3 Mpya kabsa haijatumika bei sawa na bure ya tsh 320000 niko Dar call me 0625489948 au 071645377
 
Wakuu kwa mwenye uhitaji na simu hii bado mpya rangi yake ni blue Gb32
Bei 1300000

Pm ukihitaji zaidi ipo mwanza
 
Simu tajwa hapo juu Inauzwa. Dar. Ni used. Bei 430,000. Kama una hitaji ntafute 0625549532

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…