Wauza smartphone tukutane hapa

LG G3 with charger
Capacity 16GB
In good condition
Price 460,000/=
Call 0656-816616
 


nauza microsoft lumia 535 installed windows10 ..150,000/=
0765158387.
 

IPad 3 16gb WiFi
Iko katika hali nzur
270,000
0712698246 whatsp
 
Nauza tablet samsung galaxy note 10.1 (2014 edition). Internal memory ni 32GB, ram ni 3GB.
Inapokea sim card na unaweza kupiga na kupokea simu kama kawaida pamoja na functionalities nyingine zitakazofanya ufurahie hii tablet na kuona thamani ya pesa yako. Tablet haina tatizo lolote, na wala haina mchubuko wala ufa wowote, rangi yake ni nyeupe safi kabisa. Bei yake ya mwisho 600k. Nipo dar, namba 0713 925908
 
Uzeni na tecno basi
Nahitaji simu ya 4.5-4.7" camera at least 8MP memory at least 8GB
 
NAUZA IPHONE 6S USED ILA IKO KWENYE HALI NZURI,16GB,CAMERA 12MP,GOLD COLOUR..BEI TSH 1,100,000
 
NIMEAMBATANISHA PICHA ZA IPHONE 6S,KAMA UNAHITAJI PM KWA MAWASILIANO
 

Attachments

  • WP_20160527_009[1].jpg
    143.8 KB · Views: 54
  • WP_20160527_008[1].jpg
    132.5 KB · Views: 56
  • WP_20160527_006[1].jpg
    121.6 KB · Views: 51
nahitaji galaxy j3, iphone 5s, au note 4 haraka mwenye bei nzuri anicheki
 
Wadau nisaidieni namna ya kutumia window phone nokia xl sauti ya earphone haiko vizuri nifanyeje?
 
Kazi ya window kwenye simu ni nini wadau naomba msaada......mfamo window phone nokia naitumiaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…