Wauza smartphone tukutane hapa

Huawei P8 Max
Dual SIM (Micro-SIM/Nano-SIM, dual stand-by)
GSM / HSPA / LTE
32GB, 3 GB RAM
Primary 13 MP, f/2.0, autofocus, OIS, dual-LED (dual tone) flash
Non-removable Li-Po 4360 mAh battery
Luxurious Gold
Brand New - Price 850,000/= Call 0716191356
 
Nahitaji laptop ya apple,Macbook pro yenye hali nzuri
Offer yangu 1,000,000/
 
nauza Samsung galaxy JI ace 190,000. Simu ni original ina miezi 4, simu ipo katika hali nzuri haisumbui chochote. mie naiuza kwakua kuna mambo yamenibana sana. kwa atakaye ihitaji ani PM
 
kwa atakaehitaji samsung galaxy s2 anitafute..

Iko kwenye hali nzuri bado, ina uwezo wa kutunza chaji kulingana na matumizi yako..

Inatumia chaja nzuri, excellent ambayo inai-full kwa 2hours only ikiwa empty..

Tukutane viunga vya dar, nibipu, nitakupigia kwa 0762972021..
Bei elekezi ni Tshs 168,000.
karibu
 
Samsung galaxy s3 for sale inahitaji laki mbili na ishirini only....imepasuka glass ambayo kuibadilisha ni buku kumi tu....KAZI KWENU
 
Nokia Lumia 530 ipo sokoni ikiwa katika hali nzuri imetumika miezi miwili 2 tu kwa mawasiliano zaidi 0672964011 au ni PM.....Bei elekezi 150000
 

iPhone5 32GB unapata na chaja..
iko vzur kama unavyoiona
Bei 400k

Chek me on whatsApp / call via 0714896679
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…