Wauza smartphone tukutane hapa

Samsung Galaxy Note 3 in conditions inataka 550k
Cont::0715 242454
Location: :Mbeya
Samsung Galaxy J7 duos in good condition
Price:: 680K
Loc:: Mbeya
Cont::0715 242454
 

Attachments

  • 1469538574238.jpg
    20.1 KB · Views: 49
  • 1469538583057.jpg
    44.7 KB · Views: 44
Wakuu nina simu nauza... iPhone 6 mpya kabisa ndani ya box with accesories from Apple Store - Virginia in US, I'm looking for $600 only also i have used iPhone 5C for $300, New in a box Samsung Galaxy Note4 $350 and New Samsung Galaxy S6 $500... Will meet the interested and seerious person anywhere in downtown Dar-es-salaam... PM at anytime will respond to you guys
 
Dar sehemu gani
 
Kwa matengengenezo mazuri, bora na ya kisasa ya smart phone yako na computer wasiliana nasi ili upate huduma nzuri na ya uhakika bila uharibifu wa device yako namba zetu ni.0714648822/0768393948
 
Kwa matengengenezo mazuri, bora na ya kisasa ya smart phone yako na computer wasiliana nasi ili upate huduma nzuri na ya uhakika bila uharibifu wa device yako namba zetu ni.0714648822/0768393948

Ofisi zenu zipo wap?
 
BATERY LIFE NI MUDA GANI BOSS?
Battery life huwa ina vary kulingana na matumizi yangu mkuu. Kama ipo full charge, nkipunguza mwanga wa screen yake usiwe mkali sana, na kama sichezi sana games kubwa za online hapo charge huwa inakaa kwa siku mpaka 4 hata kama data zipo on kila siku. Screen brightness kali na online games kubwa ndo zinamaliza charge kwa hii nnayoitumia, ila kama ilikua full charged still ina uwezo wa kufika siku 2 hata kama data zipo on. Wala huhitaji kutembea na power bank mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…