Wauza smartphone tukutane hapa

hellow nauza samsung galaxy tab 4 haina tatizo lolote inatumia wifi bei sh 250,000 kwa atakaye hitaji nichek whatsp kwa no 0753606603 Nickson
 
Mwenye smartphone brand ya tecno bei 100k~150k na awe Mwanza,aweke hapa detail za hiyo sim pamoja na mawasiliano yake
 
Nauza HUAWEI Y6
Ina wiki moja tu.. Tangu itoke dukan
INA 8GB INTERNAL NA 4GB EXTERNAL
RAM 1GB
KAMERA YAKE IKO POA SANA
NI LINE MBILI [DUOS]
BEI NI 265K negotiable
KWA MAWASILIANO.. 0764 223391 {Whatsapp.. Call... Or SmS}
Ahsante, karibu tuelewane
 


Nauza router mpya na offer ya bundle ya gb 40..

Bei ni 240,000. Mpya kabisa ikiwa na warranty

Pia unaweza ku connect watu wanne wakiwa mahali popote tanzania , na kumi wa eneo moja.

0717016789..
 
Kwa matengenezo ya uhakika na salama 100% ya smart phone yako wasiliana nasi kwa namba 0714648822/0768393948 tuna deal zaidi na software za simu aina zote

Mkuu, Sony xperia z3 haisomi mnara mnaeweza kuifix na bei ni kiasi gani pia...?
 
I lost my phone, Galaxy S5 nimehongwa techno Y3+, KAPYA nikuongeze na kiasi gani we utanipa simu gani? --------------------------------------
 



inauzwa 90 tu huawei y 511 tachi kwa chini inaklek ila inapiga kazi vizur flash haina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…