Wauza smartphone tukutane hapa

Nauza Smartphone Lenovo Vibe X S960 bei ni 240000/=
ina sifa zifuatazo
(i) nimetumia miezi miwili tuu tangu niinunue mpya ikiwa mpya kwenye boksi lake with charge
(ii) Haijawahi kufunguliwa kufanyiwa matengenezo
(iii) Haina mchubuko /mkwaruzo hata punye
(iv)iko kwenye hali nzuri nauza cyo kwamba ina hitilafu ya kiufundi NIELEWEKE
(v) Bado screen guard yako kutoka dukani ipo na bado imara
(vi) Ina screen HD


KUMBUKA:Huwezi kuifananisha na Tecno C8 au C9 au Samsung Galaxy S3 Kwa picha au Manunuzi WhatsApp tuu!! 0756 800977 Kunipigia tuongee ni 0654 427142 KARIBU
 
Kwa watakao hitaji SIMU moja kwa moja Toka Dubai, USA, UK, CHINA etl
Tumia hii thread www.v.ht/buy4me

Kwa simu kama
- Lenovo
- Infinity
- Meizu
- Oneplus 3 etl
Ambazo kwa Tanzania huwezi kupata kirahisi.
Basi ingia hapa www.v.ht/buy4me
 
Samsung galaxy note tab 10.1
2gb ram
16gb internal
Wifi + cerullar
330k only
Location dar
Contact 0719094595
 
Huawei Ascend P8lite Dual Sim 4G Lte
Android 5
Ram 2Gb
Internal 16 Gb
Main Camera 13Mp
front Camera 5 Mp
Slim phone
nicheki hapa
0712350159
nipo Arusha
 
Nina Tecno M6 no scratches ni Sawa na mpya inahitaji 170,000 nipo Iringa. Contact 0769877495
 
NAUZA SAMSUNG GALAXY TAB 4 SH 200000 TU HAIPUNGUI NIPO DAR ES SALAAM KAMA UTAHITAJI NICHEK PM,,,,,AU WHTSSP KWA NO 0753606603 AU PIGA SIMU 0789451900
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…