Wauza smartphone tukutane hapa

Salute
 
iphone 5s ipo na hii Note3 zote ni nyeupe kwa rangi, Note 3 ni 4g 32gb, pia hiyo 5s hivyo hivyo
 
MJ MOBILE REPAIR,ni mafundi simu kwa kutumia vifaa vya kisasa kabisa.tunabadilisha touch screen pamoja na display,simu inayowaka na kujizima,simu inayopata moto pindi unapoiwasha,ukiiweka chaji au unapoitumia, simu iliyozima,simu isiyojaa chaji,simu inayonyonya battery,simu iliyoingia kwenye maji,simu inayozima ikiwa mfukoni,simu iliyozimika yenyewe,simu ambayo touch screen inashindwa kufanya kazi vizuri,pamoja na matatizo mengi ya smart phone yako wasiliana nasi kwa 0714648822 & 0754549922 KARIBUNI.
 
Nina J1ace nimeinunua Jana naona sijaipenda kama kuna mtu yuko interested nichek nimechukua kwa 250 wewe leta 200 nakupa
 
Mnapatikana wapi
 
Msaada wakuu,
Nina iPad 2, ninashindwa kuingia appstore kwa kutumia "apple ID" yangu. Kila ninapotaka kuingia inanitaka ni-review kwa kuingiza taarifa zangu za kadi ya manunuzi, nikiinigiza taarifa hizo ninakwama kuweka "security code", nimejaribu kwenda benki ilinipatia hiyo card wameshauri nijaze nywila ninayoitumia, nimefanya hivyo lakini bado tatizo liko pale pale. Nifanyeje, maana nashindwa kupakua applications hata za bure!

Kaka ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…