Wauza smartphone tukutane hapa

aliyepo dar naomba kujua bei ya tecno c7 na bei ya tecno w5 kwa bei za dar maana hapa dom bei ni tecno c7 250000 na tecno w 4
 
OFA OFA YA J2 MPYAAA.
[emoji625]Samsung J"2" Mpyaa[emoji625]

Tsh 289,500[emoji393]
[emoji328]Kamera ya mbele 2.2MP
[emoji328]Kamera ya nyuma 5MP
[emoji332]8GB memory [emoji336]kioo 4.7 inches.
[emoji337]0715531232[emoji338][emoji2]text[emoji395][emoji2]wasap[emoji187]
 
Attachments

  • 1479896903288.jpg
    35.8 KB · Views: 41
Jaman mi nahitaj iphone 6 plus space gray, ambayo iko clean kwa kila kitu haina mikwaluzo, speaker, touch screen, system charger, vyote viwepo na viwe og kabsa Anichek kwa no. 0717211176 tufanye biashara......
 
Wadau kat ya Samsung note 1 ,,Samsung j2,,na tecno boomj8 ipi bora
 
Wadau kat ya Samsung note 1 ,,Samsung j2,,na tecno boomj8 ipi bora
Ndugu jaribu kusikiliza moyo wako na macho yako ...watuami wa tecno watakwambia tumia tecno ..na watumiaji wa samsung watakwambia tumia samsung..ila kwenye ubora nadhan unajua [emoji4][emoji4]
 
Ndugu jaribu kusikiliza moyo wako na macho yako ...watuami wa tecno watakwambia tumia tecno ..na watumiaji wa samsung watakwambia tumia samsung..ila kwenye ubora nadhan unajua [emoji4][emoji4]
Mkuu niweke tu wazi kupi ni bora zaidi,,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…