Wauza smartphone tukutane hapa

Nauza tablet aina ya samsung galaxy note 10.1 (2014 edition) yenye ukubwa wa nchi 10.1, na internal memory ya 32 GB. Haina tatizo la aina yoyote, ipo vizuri kabisa. Inatumia sim card. Namba 0713 925908. Nipo dar
 
Samsung s7 edge/32gb hiyo inahitaji Tsh. 1,100,000 / Tsh.1.1m...mwenye uhitaji anicheki 0655659115.
 
Nauza tablet aina ya samsung galaxy note 10.1 (2014 edition) yenye ukubwa wa nchi 10.1, na internal memory ya 32 GB. Haina tatizo la aina yoyote, ipo vizuri kabisa. Inatumia sim card. Namba 0713 925908. Nipo dar
Unauza bei gani?
 
unauza bei gani mkuu
 
natafuta note 3 used iwe kwenye hali nzuri bajeti yangu ni 200k.....naweza kuongeza kutokana na hali ya simu
 
Nauza tablet aina ya samsung galaxy note 10.1 (2014 edition) yenye ukubwa wa nchi 10.1, na internal memory ya 32 GB. Haina tatizo la aina yoyote, ipo vizuri kabisa. Inatumia sim card. Namba 0713 925908. Nipo dar
weka picha mkuu
 
weka picha mkuu

Screen yake ipo intact, haijaguswa kabisa, hiyo inayoonekana hapo ni protector. Na nyuma hilo ni nylon lake la kuprotect back side, sijalitoa bado, hivyo nyuma pia pako intact, hakuna cha ufa wala mchubuko
 
Nauza Simu Zifuatazo.

-Samsung s7 Edge 32Gb Tsh. 1,100,000

- Samsung S3 Tsh. 250,000

- Blackberry Z3 Tsh.380,000

- SamsungA8 Tsh. 880,000

- Htc M9. Tsh. 420,000
Mwenye uhitaji nicheki:

Direct: 0655659115, Whatsapp: 0624132227

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…