elia stephen
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 263
- 82
Unauza bei gani??Note 5, ina crack nyuma.. 650k View attachment 447420View attachment 447421
650,000 TshsUnauza bei gani??
Storage ngapi?Mkuu kutuma pict JF hata siwez labda nikutumie watsap
Storage ngapi?
Mkuu kula 350kNi nzuriiiiii ila mimi napenda simu nyeupe sana.
Na malengo yangu ni kuwa na Samsung ya note nyeupe.
Biashara njema mkuu.
Z3 bei gni mkuuuNinayi z3 iko vizuri sana,,kama ni mtu unaependa kubrowse ina ram 4gb so iko na speed
480,000 MKUUZ3 bei gni mkuuu
Nauza Samsung Galaxy S7 Gold, used-like-brand-new. Haina any scratches. 32Gb internal memory duos.
Nakupa na box lake na warranty card ya 2yrs.
Bei 1.1M
Karibuni
800K hailipi Mkuu labda mpaka usubirie ikiwa imechakaa chakaa...Chukua 800k mkuu