Wauza smartphone tukutane hapa

Nina j5 ina siku mbili ni ya 2015 3g ina glass protector na kava la kuvutia vyote vipyaaaa nataka nibadilishane na mwenye j7 ya 4g ya 2015 mpyaaa....
njoo PM tuyajengeeeee naitamani sana hio j7 .utapata na ofa ya kuniona mm japo mbaya.
 
LG Nexus 4
Internal Memory 13Gb tsh220000 Kwa nyuma inavunjika kioo fresh
 

Iphone 5 Gb 64, iko in good condition
Location:Mbeya town
Contact; 0767242454
 
Samsung Galaxy s6 nauza

Newly condition,imetumika for 10 days only

Unapewa all accesories,
Earphones bado mpya hata hazijafunguliwa

price: *650k*

Whatsapp,text or call 0785706115
 
Nauza SAMSUNG GALAXY S7 GOLD.
Used like brand new.
32GB internal memory, 4GB RAM.
Haina tatizo hata moja, wala mkwaruzo.
Ipo kwenye garanty ya 2 yrs kutoka samsung.
Bei 1.1M
 
Jaman mi nahitaj iphone 6 plus space gray, ambayo iko clean kwa kila kitu haina mikwaluzo, speaker, touch screen, system charger, vyote viwepo na viwe og kabsa Anichek kwa no. 0717211176 tufanye biashara......
Chukua S7 original..ipo clean, kwa kila kitu..no mikwaruzo kila kitu kipo fresh na ipo kwnye guarantee ya 2yrs.
1.1m
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…