Wauza smartphone tukutane hapa

iphone 6 16 gb,,tsh 780,000
..iko vizuri sana,,kwa anayehitaji pm ...
 
Nauza Nokia Lumia 800,16 gb internal memory,iko poa haina tatizo lolote wala scratches.....bei ni shiling laki mbili na nusu tu/maongezi yapo check me thru 0659697178
 
Niaje wakuu,Nina tecno C5 nataka C9...nikupe C5 na nikuongezee shilingi ngapi unipe C9?
 
Wakuu habari zenu. nimekuja tena na tablet aina ya samsung galaxy note 10.1 (2014 edition) yenye internal storage capacity ya GB 32. Mzigo upo katika hali nzuri kabisa na haina tatizo lolote. Mwaka mpya ndo huo unakuja na mifuko imetoboka, kiukweli nna shida sana na hela ya kula bata sikukuu. Hivyo hatimae nimeamua kuuza hii tab yangu pendwa kwa punguzo kubwa la bei, nahitaji shilingi 400,000 tuu (haipungui tena zaidi ya hapo). Ina screen protector, na kwa nyuma bado ina nylon lake. Picha zitafuata hapo chini. Napatikana hapa chuo kikuu cha dar es salaam, na namba zangu za simu ni 0713 925908. Karibuni sana wakuu. Natanguliza shukran
 
Leeco le pro3
Inauzwa

Storage 32GB
Ram 4GB
Processor Qualcomm 821pro Quad core
Screen 2.5d 1080p resolution
Battery 4070 mAh
Camera 16mp front @8mp rear

850k nataka
nichek kwa namba yangu
0752636738
 
Samsung Galaxy S7 Gold 32GB Original ipo ndani ya 2yrs warranty kutoka Samsung,ni used like brand new bado inapatikana kwa Tshs.b 1.1M tu.
 
Tecno C5 inauzwa kama uko Moshi au Arusha tutafutane nikuuzie Bei 160,000...njoo PM
 
Habari, nina Samsung note 2. Ipo katika hali nzuri kabisa. 2 gb RAM, 8 mg kamera ya nyuma, 2 mg ya mbele. 16 GB internal memory. Ina screen protector ya kioo na haina tatizo lolote. Nataka nibadilishe simu kwa kununua kubwa yake either note 4 au 5. Hii naiuza kwa Tshs 250 fixed price. Asanteni. 0688 65 82 92.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…