mkuu kuliko kutumia hii simu nakushauri utumie Tecno tu, processing yake iko low kuliko simu zote
iphone 7 black as spea bado mpyaa
sasa si mtuwekee na bei hapa hili tujue mnaziuza shilingi ngapi hizo iphone kwani hamuweki kila kitu wazii?Kuna iphone 6s plus 64 gb imetumika mwezi mmoja,,kama mpya iko vizuri sana...gold colour anayehitaji anipm...
nshawahi kuwa nayo na ilikuwa nzuri kwangu ndio maana naitaka tenamkuu kuliko kutumia hii simu nakushauri utumie Tecno tu, processing yake iko low kuliko simu zote
nina range ya Tsh 350k mpaka 400k, je nitapata smart gani kwa hii bei?
Note: sihitaji TECNO wala SAMSUN
Hiyo simu bado ipo mkononi hadi sasa
tofauti na iphone una simu gani nyingine mkuu? sitaki simu ndogo nataka kubwa ya wastani. iphone hii kiukweli sijawahi kuielewaNicheck nikupe IPhone 5s
Mpya
0654766056
Only phone
tofauti na iphone una simu gani nyingine mkuu? sitaki simu ndogo nataka kubwa ya wastani. iphone hii kiukweli sijawahi kuielewa
Nauza samsung galaxy a7 2016 ina 3 weeks na reseat yake kwa 500k. Half natafuta s7 edge au s6 edge plus goldHallow wana JF, weka picha, mahali ulipo, contact zako na specifications za device yako.