Touch yake inauzwa laki mbili na nusu kuwekwa tenmwenye kujua bei ya kubadilisha touch ya samsung note 2 anijulishe ina range kiasi gani?
Ninayo ongeza nusu ni mpya kabixa nipo mwanzawakuu... heshima kwenu!!!
nahitaji samsung note4 @400
Ivi kwa mfano IPhone 6 na iPhone 6plus, nini tofauti zake?? Iyo plus ina maanisha kitu gani??![emoji101] [emoji101]
Tofauti zake ni accessibilityStorage na screen size ndio vinatofautiana
Namba yako ya simu?Nauza memory card ya samsung. Ina 64gb storage, ni original class 10. Nimeitumia miez miwili tu. Bei 45k
Namba yako ya simu?
Nina laki 3 napata Simu gan brand ya Samsung au iphone