Kuna galaxy J5 full box hapa around 350k uko wapi tufanye biashara chief?Ushauri nisaidieni Nahitaji simu bajeti yangu NI 250000 mpaka 300000 tecno Hapana
kuna iphone 6 mpyaa yn haija ata chembe la mchbuko...imetumika wiki na cku 1....internal 64 gb.....bei 750k
Ina kwenda bei gani ndugu?.Mimi mwenyewe nilikuwa na hitaji.kuna mtu anayo
pics pleaseY3+ imetumika miez miwil bei 60000/-
nina 200 cash mkuuIphone 5 inauzwa 250 tu ! Nicheki PM
Hapana mkuunina 200 cash mkuu