dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,702
- 20,134
App kama Watsapp ina uwezo kuinstallhii ikiwa mpya n 100k, kwa dar shm nyingne mpk 120k
Tamu sana hii simu, nilishakua nayo ikapoteaa
Hapana whatsapp haisuportApp kama Watsapp ina uwezo kuinstall
300K vipi...?Xiaomi redmi note 3 pro still new no any scratch,comes with it's box, original charger and back cover.
370k
Contact 0716699163
300K vipi...?
Kuna moja nimeona town jana inauzwa 100 k nokia na ina support watsapp muundo kama huo huoHapana whatsapp haisuport
Hapana haiwez kua hio, kuna mchina yake ,wanaonesha ina support ila sio kweliiKuna moja nimeona town jana inauzwa 100 k nokia na ina support watsapp muundo kama huo huo
Yeah ila ile ni original na sehemu nilio iona ni duka ambalo na nunuaga simu mara nyingi na haijawah niuzia feki mkuuHapana haiwez kua hio, kuna mchina yake ,wanaonesha ina support ila sio kwelii
km n OG bas, lazma itakua n tofaut kdg, hii haisuport wasap kbsa, nilijarb kila njia, na mwisho nikaangalia kweny mtandao wakasema haisuportYeah ila ile ni original na sehemu nilio iona ni duka ambalo na nunuaga simu mara nyingi na haijawah niuzia feki mkuu
Bajeti yako iko vip?Natafuta display ya LG G3 kwa bei isiotiwa ndimu.Hata kama ni used mi sichagui ili mradi tu iwe display.
Bas sawa hamna maneno mkuukm n OG bas, lazma itakua n tofaut kdg, hii haisuport wasap kbsa, nilijarb kila njia, na mwisho nikaangalia kweny mtandao wakasema haisuport
Mkuu niko dar nimesoma number zote za utawala huu chn ya fisiemu nina 250kilo.......IPhone 6 16 gb..650,000 niko Moshi,,iko vizuri anayehitaji tuwasiliane
Mkuu niko dar nimesoma number zote za utawala huu chn ya fisiemu nina 250kilo.......
J8 ipo lakiNinayo j8,nicheki 0763778186
Mkuu ni Mpya ama used?IPhone 6 16 gb..650,000 niko Moshi,,iko vizuri anayehitaji tuwasiliane
Nipo holili HAPA , muda kitambo nmetoka taveta kutafuta hiyo simu, please weka picha na details zote zinazohusika.IPhone 6 16 gb..650,000 niko Moshi,,iko vizuri anayehitaji tuwasiliane