Wauza smartphone tukutane hapa

Tecno W4 used for 2months inauzwa 150000 nipo Dom ila popote utatumiwa
 
Tecno W3 lite ina 4g,IPO poa sana INA wiki 3 tu tokea niinunue,nimepata dharula,nataka 160,000/= tu
 
Kupa Techno J8 na Elfu 50
Unanipa simu gani?
Sifa za J8.
kioo inch 5,
Ram 2gb
Storage 16
Line 2 zote 4g
Camera mbele 8mp plus torch, Nyuma 16 plus flash. Simu yako lazima over hii
 
Nauza lg g4 300000
32 gb internal
8 gb external
3gb ram
16 megapixel camera ya nyuma
8 megapixel camera ya mbele
Inasoma 4g
Nipo morogoro mjin
0757971965
 
Hallow wana JF, weka picha, mahali ulipo, contact zako na specifications za device yako.

BLACKBERRY LEAP.GB 16.RAM 2GB NATAKA 150.K CHAP NINA SAFARI 0754 60 45 67
Nauza lg g4 300000
32 gb internal
8 gb external
3gb ram
16 megapixel camera ya nyuma
8 megapixel camera ya mbele
Inasoma 4g
Nipo morogoro mjin
0757971965
 
Wadau niko na Samsung Galaxy S7 ya silver nauza bei sawa na bure kabsa,
simu ni nzima na nimekaa nayo for miezi mi 4 tu, reason nauza ni kwa sababu samsung wametoa samasung galaxy s8 ni kawaida yangu kuuza ya zamani kununua mpya, ni mpya na mnunuaji ataipenda maana mie ni mtunzaji wa simu.

serious buyers wanione inbox tuongee biashara!
 
Huawei for Sale

Good Condtion
Haina Michubuko wala Mikwaruzo
Iko kama mpyaa
Internal 4gb
Camera 2mg
Double Line
Na ina support line zote
Nchek kupitia 0686133098
Tshs 125000 tu

 
Sh ngapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…