Wauza smartphone tukutane hapa

mm nahitaji tecno W3 LTE dau ofa yangu ng 140000 na iwe kwenye hali nzuri.nipo dar,nitafute kwenye namba 0652002828

Kama ni tecno w5 ile yenye 4G nakupa 160

Simu nyingine kigezo cha kwanza iwe na 4G ,RAM 1.5 -2 GB

MAZUNGUMZO YAPO KARIBUNI

Pia nina tecno w4 nauza kwa 130 imetumika 6months na kama unataka tubadiishane na simu ya 4G na nikuongeze mkwanja karibu

kwa sifa ulizotaja na bei uliyotangaza kuna tecno C9..

Ninayo Samsung galaxy J7 duos
Simu imetumika mwezi 1 tu,inakuja na earphone only.
16 GB
4G
Nauza 420,000/ tu 0715677739

Nahitaji tablet brand yeyote iwe mpya.iwe na specification zifuatazo
Internal memory 16gb
Android 5.1
Ram 1-2Gb
Specification hizo tu.hata isipotumia line.
Ila wireless na bluetooth iwepo.
Asante

Naziuza simu aina ya IPhone 4 internal memory 8GB ina 5megapixel kwa bei poa kabisa 0659254488 whatsp mi uzione

Weka picha, au weka location lilipo duka lako
Chukua namba iyo uje upewe maelekezo sichukui pesa ya mtu mbaka aino nakulidhika kuichukua, kwani kila mfanya biashara anaduka but picha natumia simu apa naona inakataa ndio maana nimesema njoo whatsap nikutumie ukiridhika unakuja kununua

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…