.ntumie picha..NAUZA SIMU AINA YA
Tecno CX air
Bei 250,000/=(250k)fixed
Clean condition.
Imenyooka kabisa CONTACT me 0659254488
Hope saa nne haifiki [emoji1] [emoji1]
Nitext whatapp wai simu yang inakalibia zima boss.ntumie picha..
Tufanye exchange Bos nikupe tecko W3 na 40,000/=Nauza Samsung j2 white colour bei 170k
Situmiagi tecno boss wanguTufanye exchange Bos nikupe tecko W3 na 40,000/=
Mawasiliano??NAUZA TECNO H6 NZURI 70000 TU. ATAKAYE HITAJI NI PM.
Duh sawa mkuu mwenyewe napigana juu chini kuhama teckoSitumiagi tecno boss wangu
Mkuu waweza nisubiri kama wiki 2 kufika dsm nikutafute?Note 1..bei 150000/=....second hand UK hapa aijatumika kabisa zaid ya kuitest tu...good condtion ni km mpya..0629565168
Dukan mpya sh ngapi mkuu laki 3 vipSamsung Galaxy J7, inacrack ndogo kwenye kioo, bei 400,000....
MkuuUpo dar?
Ungependa kupata simu au laptop kutoka Zanzibar?
Kama jibu ni ndio wasiliana nami au ingia hapa Smile with Zanzibar. uniagize nikununulie kisha nikutumie , ukipata mzigo ndipo unalipia bidhaa Asante
0726403314
Naam!Mkuu
Nicheck whtsapp 0629565168Naam!