Wauza smartphone tukutane hapa

Kwa hiyo tufanyaje tuache kununua simu hizi au tufuatilie wapi taarifa zao ili kujua kama niza wizi au siyo?
 



Tecno camon CX 250 inahitajika.
Location. Tabata DSM
Contacts. 0658190978 0763976109
 
Used Tecno phantom 5 ina ram 3gb,internal 32gb,finger print,front camera 8mega pix na back camera 13mega pix ipo kwenye hali nzuri inataka Tsh 300000..pia Kuna Lg G3 yenye internal 32 Gb inataka laki 3 pia kwa atakayehitaji tuchekiane 0712842283 Napatikana dar
 
Samsung galaxy j5 inauzwa 380k
Mwanza
Camera mp 13_ front 5.1
Ram 2Gb
Ina creek kdgo kweny kiooo
Loca___,MWANZA
+255 743 607 699
Maongezi yapo
 
Huawei G8 kwa 260000/
Line 2, Kamera: 13MP +5MP, Memory: 16 GB ,3 GB, Processor: Quad-core 1.5 GHz,Uwezo wa kifaa: 3G, 4G na finger print
Ipo Dar 0719308160
 
Hizo tv bado zipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…