Weka pichaNina TECNO W3 bei elfu tisini
Natafuta nokia 5
Ntaka kuupgrade na mm ninayo nokia 3I have Nokia 3
natafuta i phone 5s na i phone 6 ..nina 1milion cash on ma hand.
Nataka simu mbili.Simu mbili au moja?fafanua mchanganuo
Naitaka hyo nna 2kHuawei G8 kwa 260000/
Line 2, Kamera: 13MP +5MP, Memory: 16 GB ,3 GB, Processor: Quad-core 1.5 GHz,Uwezo wa kifaa: 3G, 4G na finger print
Ipo Dar 0719308160
Duh! Yaani una 2k (k=000) kwa hiyo 2k=2000/=Naitaka hyo nna 2k
I mean 200000Duh! Yaani una 2k (k=000) kwa hiyo 2k=2000/=
Hizo dharau