mpiga domo
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 852
- 1,507
Weka bei na picha ili mtu hata kama anakufuata inbox anajua wap anaanziaIphone 6s 64 GB going cheap. Kama una shida nayo kujua picha and bei nifuate PM
Naulizia infinix ..bajeti ni laki 2.NAULIZIA INFINIX
Infinix hot 4 ina wiki tatu.. Screen protector na cover jipya.. Inapatikana kwa 220k Bila punguzo.NAULIZIA INFINIX
hii bdo ipo mkuuKwa anayetaka Cx Air ninayo mpya niko dsm bei 230 tu,
Sipunguzi
K90Naulizia being ya oneplus 3T au 5T
ĶkķNaulizia being ya oneplus 3T au 5T
Lhii bdo ipo mkuu
hii bdo ipo mkuu
ndo nn?????
Mkuu unahitaji ya dukani au used?cx air released march naulzia
S5 Neo unazo?Kuna a friend of mine anauza Samsung galaxy mega 4 ni ya kwake wenyewe.
Memory 8gb.
Anataka 200k
Size (screen) 5.9 inches
Mimi simu zilizopo za bei ya chini kabisa ni Samsung S5 300k full box.
Ngoja nimuombe picha
weka ofa yako mi nnayoNahitaji SAMSUNG J5 PRIME AU J5 PRO
Mkuu nenda PM kwako...nimekumwagia full data huko.Nahitaji SAMSUNG J5 PRIME AU J5 PRO
Kumbe na wewe unauza simu!! Sasa kwanini ulikua unanikazia bro?Mkuu nenda PM kwako...nimekumwagia full data huko.