Wauza smartphone tukutane hapa

NAHITAJI CAMON CX MWENYE NAYO AJITOKEZE TUFANYE BIASHARA
 
Tecno W5 ina fingerprint scanner
4G LTE
ROM 1GB na internal memory ni 16 GB
Battery ni 3000MAH pia ina glass protector ina miezi 7 bei ni 220k
 
Haya sasa nawaletea akipendacho binti
Nawaletea Samsung galaxy Note 4
Colour Rose gold
Memory 32 gb
Ram 3 gb
Camera 16mp
Battery 3220mAh
Network LTE 4G
Fingure print

Price 380k (380,000/)

Contacts 0652332255 Or 0739332255.

Tupo Ilala (Pia tuna deliver kwa Dar)




 
Infinix aina zote nauza, kuanzia s2,not 4,note 4 pro, hot2,4,5,zero 4,pro, zero 5 na zero 5 pro..
Naziuza nikiwa Border-Kenya. Ukiingia uza simu ama nunua uitakayo, kisha jina LA simu +number na unapopatikan bila kusahau bei
Simu infinix zero 5 hazipatikan Tanzania, Nina tawi Dar es salaam, kwa waliopo Dar mtapata simu hizo kwa kufika ofisini kwetu Kariakoo.
Simu hizi utanunua kwa bei ndogo tofauti na ukinunua tz kwsababu nipo Kenya. Uki order utalipia na 7000usafiri.
Napatikana kwa number 0753093869.

Simu zote ni mpyaaa.
Utapata chaga, earphone,USB+risiti+waranty.

Nunua simu kutoka KENYA, kwa bei nafuu sasa... Tz ofisi zipo dar tu.
 
Reactions: Fdt
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…