Wauza smartphone tukutane hapa

Selling an apple iPhone 6 plus
128GB
Space gray
Ram 2Gb
New condition
Finger print [emoji736] [emoji736]
Price; 950,000/=
Check me pm
 
Katka pita pita zangu mitaa ya internet nimekumbana na jambo ikiwa una samsung yako na unajisemea kuwa ni original au unatakakununua musipate tabu yoyote ile fanya hivi.

Ingia PLAY STORE search kwa kuandika PHONE INFO SAMSUNG, application ya mwanzo itayojitokeza ipakuwe kwa kuinstall halaf iopen ukishaifungua moja kwa moja itakueleza nchi iliyotengenezwa hapa ikiwa jina lilipokwenye kibandiko cha nje au chini ya betri mfano kwenye kibandiko imeandikwa MADE IN VIETNAM basi kwenye hii app itakuambia sahihi ilipotoka simu yako, tarehe iliyotengenezwa na mambo mengine mengi utayaona. Press kushoto utaona maneno kama GENERAL! SCS CODE,FIRMWARE....... haya utajua wewe huko.

Ukishakumbana na hayo halafu click upande wa juu wa kushoto kuna vistar vitatu bonyeza hivo utaona mfuatano wa maneno kama vile INFORMATION bonyeza neno REFURBISHMENT CHECK iache I loading kwa second chache hapo itakwambia ikiwa ni original utapongezwa kwakuambiwa CONGRATULATIONS YOUR phone IS ORIGINAL ikiwa sio utambiwa sio. Mumenipata nahisi.
 
Halafu mulete feedback ya simu zenu ikiwa munamikenge au za wenyewe..
 
Iphone 7plus RED
Inakreti ya kioo
128GB
Ipo Dar
Bei=1050000Tsh
 
Mwenye duka anakuangalia tu akijua ni og halafu unakuta feki unamuharibia biashara
 


Tecno l9 plus ina mwezi tu imetoka kwa duka
Bei ni 250k
Location tabata sanene
0763976109
0658190978
 
Asante sana mkuu kwa kushare nasi...
Hii app inaonesha ni mara ngapi charger imekuwa connected kwenye simu
Ni mara ngapi earphone zimekuwa connected

Hivyo inakusaidia kujua kama simu ni mpya au kuna mtu alitumia akaisafisha tu
 
Asante sana mkuu kwa kushare nasi...
Hii app inaonesha ni mara ngapi charger imekuwa connected kwenye simu
Ni mara ngapi earphone zimekuwa connected

Hivyo inakusaidia kujua kama simu ni mpya au kuna mtu alitumia akaisafisha tu
Yaaap ipo vizr sana.
 
Nina iphone 6 kadhaa 16gb laki 5 na 75 mpya na accessories zote ...na 6s mpya 16gb laki 6 na 93

Zipo kinondoni dar
Kwa mawasiliano zaid nichek kwa whatsapp +8615567970407
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…