SEMA CLONE .... LINAONEKANA KABISA FAKE HILI ... SIO ORIGINAL HIISamsung galaxy A7 2017.
Inauzwa 280k lakin Maongezi yapo
Location MWANZA
No..0674250886 whaatsap. Or 0743607699 sms
Pia kuna SAMSUNG S5 price 280k maongezi yapo piq
Ushaambiwa toka usukumani sasa unategemea original kwi kwi kwiSEMA CLONE .... LINAONEKANA KABISA FAKE HILI ... SIO ORIGINAL HII
Mkuu bado ipo hii
Aise yangu sim ina shida bwanaNina Huawei y530 inataka 150,000.na kama una matatizo na simu yako tuonane humu 0715378899
Nahitaji Samsung s6edge,Au note 5
Offer 500k ipo hapa isiwe clone maana yake tutakosana hata used sawa tu,ilimradi isiwe copy
display inauzwa 120000Nahitaji kutengenezewa simu yangu hii j1 mwenye kioo chake maana haiyoneshi lolote lkn kuwaka inawaka na mlio wa sauti unasikika inapowaka.View attachment 692997View attachment 692998
Nahitaji Samsung s6edge,Au note 5
Offer 500k ipo hapa isiwe clone maana yake tutakosana hata used sawa tu,ilimradi isiwe copy
Ingia insta tafuta mtu anaitwa OCHU PHONES anazo kibaoNahitaji Samsung s6edge,Au note 5
Offer 500k ipo hapa isiwe clone maana yake tutakosana hata used sawa tu,ilimradi isiwe copy
Unazo sehem ganidisplay inauzwa 120000
Ipo, 260k, 0753884422Wauzaji nahitaji simu aina ya NOKIA 2, mwenye nayo tuwasiliane.
Nipe bei mimi hapablackberry z10 iko kwenye hali nzuri. bei maelewano tuwasiliane
0672879278
160kNipe bei mimi hapa