Nipe bei mimi hapablackberry z10 iko kwenye hali nzuri. bei maelewano tuwasiliane
0672879278
Picha kwa 0658190978160k
Picha naomba 600kMkuu nipe 700k nkupe S6 edge
Insta sio muumini huko lbda aje humuIngia insta tafuta mtu anaitwa OCHU PHONES anazo kibao
Sema bei Mimi nahitaji harakaSamsung S7 edge haina tatizo lolote tuwasiliane kwa anaetaka
Uko wapi kwa ssa
Uko wapi kwa ssa
Mkuu 370 tufanye busness chapchapnauza iphone 6 finger prints failed
16 gb nauza 430000
Kwa bei ganiPhone 6s Plus 64 gb pia ipo katika hali nzuri nayo inapatikana
Kwa bei gan
accountancy
Unapatikana wap ndugu?nna tecno m3 laki na ishirini
205,000/=Inahitajika Tecno K7 mpya,nipeni bei wadau