Wauza smartphone tukutane hapa

Sumsung S6 inapatikana haina michubuko sawa na mpya fixed 400k.
Nicheki PM tufanye biashara.
 
NAHITAJI I PHONE 6 PLUS 16 GB GOLD MPYA, NICHEKI TUFANYE BIASHARA
Mimi ninayo ina mwezi mmoja tu ina glass protector ina cover babu kubwa inakaa na chaji muda mrefu nahitaji sh 700,000
 
Nauza xioami redmi note 4 used ina internal ya 64GB RAM 3GB kwa bei chee ya laki 3 na 65
napatikana mwanza
Kwa maelezo zaid call/whatsap 0717435605
 
Nina hitaji Samsung J7 pro au Samsung s7,S6edge,S7edge
Ila sharti lngu ni kuwa mtu huyo tufanye naye malipo baada ya kuupokea mzigo,awe mwanza musoma, Tarime,bunda,Serengeti n.k sehemu za kanda ya ziwa kama uko mbali unaweza mtumia ndugu yako anayepatikana mitaa hiyo nije niikague nilipie
N.B Hakuna ubabaishaji kama simu yako haitakuwa na kasoro utakazoniambia kama clone sema clone,
 
Jaman mwenye simu ya haloteli yyoyote kutoka shop naomba anicheki tufanye biashara ....nahitaji has a has a smart phone ya haloteli

Anicheki kwa hii no..0625873353
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…