Used siwez kupata kwa 200Jumla 385k na rejereja nadhan wataanzia 390k
Xiaomi Redmi 5 plus ni bora kwa kila hali.Wakuu msaada tutani, kati ya Meizu pro 6 plus na Xiaomi Redmi 5 plus ipi ni simu bora? CHIEF MKWAWA na wengine
Bei zake ?
Asante mkuu,Xiaomi Redmi 5 plus ni bora kwa kila hali.
hii sim bei gani
Ukibadili maamuzi ukakubali tecno ipo comon cx ukiiona mwenyewe utaipendanina 300k ninahitaji simu
NB: Except TECNO
Mwezi uliopita nimeagiza MI china,kufika bongo (posta) wameipiga juu kwaju asee , sasa nimekata tamaa ya kufanya shipping kabisaa bora nichukue used bongo
soldUkiridhia miambili hit me up 0625697394
Ongeza dau nikuachie my REDMI note 4x mpyanina 300k ninahitaji simu
NB: Except TECNO
Mwezi uliopita nimeagiza MI china,kufika bongo (posta) wameipiga juu kwaju asee , sasa nimekata tamaa ya kufanya shipping kabisaa bora nichukue used bongo
Ngumu sana asee,,ungepanda panda kidgoNahitaj Infinix X573 hot S3 used. Nina 250. Npo dodoma
We ulitaka ngap mkuuNgumu sana asee,,ungepanda panda kidgo