Wauza smartphone tukutane hapa

Naona kupata simu ya Sony ni issue anyway nahitaji Samsung J7 pro mpya mwenye nayo anipe bei yake ikiwa na punguzo
 
Mwenye laptop yenye sifa hizi hapa na ana shida ya pesa anaweza kuja inbox tukafanya business Cpu - intel core i5|above... 4th gen|above. Gpu- intel hd 4000|above. Ram - 4GB... HDD 500GB.... Kuhusu location iwe Dsm au kama upo mkoani basi uwe na unaemwamini wa kukupokelea mzigo wako na pesa.. 0763976109
 
Wakuu kwa 400k ntapata iphone gani, yenye specification zipi? Ukinijibu na unayo itakuwa vizuri zaidi coz tunaunganisha na kufanya biashara kabisa.
 
LG Nexus 5 inauzwa bei sawa na bure 200,000 Tshs

Meiuz inauzwa bei sawa na bure 300,000
 
Nauza Tecno C8, NIPE 150k inatosha,nipo DSM 0625697394
 
Mwenye huawei P8 aje nayo,anipe bei na picha,0625697394
 
Nina 150,000/= nahitaji simu android ya maana. Mwenye nayo nicheki 0719665022.
Chukua Tecno C8,haina tatizo lolote,naiuza kwa kuwa sipendi kukaa na simu aina moja kwa zaidi ya miez sita,kama upo serious, nichek 0625697394. Dar es salaam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…