Wauza smartphone tukutane hapa

Bei rahisi sio copy mkuu
 
Natafuta blackberry CLASSIC q20 au Q30 Kama unayo niwekee bei tuzungumze
 
Samsung Galaxy J7 nzima kila kitu ispokua inatatzo la touch, inagomagoma. Bei 160,000 ipo ubungo.
 
Offer Offer Offer

Samsung Galaxy s6 edge plus 64 GB Full box for only 620k

Color Dark blue
Memory 64 gb
Ram 4 gb
Camera 16 mp
Network 4G LTE
Made in Korea
Official unlocked Verizon (US)
Samsung- SM- G928V
Android version 7.0 nougat

Price 620,000/-
Warranty 12 Months
Constants 0652332255

Tupo Ilala, Kariakoo pia waletewa Ulipo ukitaka.
 
Attachments

  • IMG-20180712-WA0006.jpg
    30.9 KB · Views: 51
  • DSC_0355.JPG
    93.6 KB · Views: 41
  • 1532496051283-1713468548.jpg
    100.5 KB · Views: 46
  • 15324961809781523919340.jpg
    99 KB · Views: 49
Asalaaaaaaam wakuu
Za siku nyingi , nilimiss sana Jf angalau sasa imerudi naenjoy maishaa kwa habr na updates mbali mbali

Km kichwa cha habari wakuu napenda kuuliza mtu ukitaka kufungua duka la cosmetics lile standard tuu la katii unatakiwa uwe angalau na mtaji kiasi gan????
Na ni masharti yapi au sheria ipi waga zipo za kufata pamoja na expenses zote za biashara hyoo ikiwemo lesen ya biashara
Nawasilisha wakuu mchango wako ni wa muhimu sana kwangu asante[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Cont:0769939879
 
Cont: 0769939879
 
Mkuu. Hivi hizi simu yaani s6&s7 edge ni single au double line? Nielimishe mkuu
 
oppo,vivo,xiaomi na gionee ni brand za china zinazofahamika na kuheshimika dunia nzima,ukikutana na moja wapo ya hizo nununa mkuu wala usiwe na hofu,achana na matekno yanayouzwa afrika tu hata huku china zinakotengenezwa haziuzwi.
Shukrani sana kwa ushauri wako..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…