victor siriamaka
Senior Member
- Jul 19, 2016
- 184
- 192
Leta pichaSamsung galaxy j5
Gold colour
Ya mwaka 2017
Haijafunguliwa wala kupelekwa kwa fundi
Bei ni 220000
Sent using Jamii Forums mobile app
Picha plzNauza nokia N73 na Nokia 6500 slide kila moja kwa elf 80
mkuu hapa natumia hii nokia n73 siwez ku uploda file ingia kwenye profile yangu kuna uzi niliandka naziuza na picha zipo
Kama uko dsm ipo 70 hapa mfuko wa shatimkuu hapa natumia hii nokia n73 siwez ku uploda file ingia kwenye profile yangu kuna uzi niliandka naziuza na picha zipo
Kama bado hujanunua.. Oppo ni simu nzuri sana ila usinunue bila kuomba ushauri wa hiyo simu.. F series wanauza bei sana afu ni mediatek..kama ni R series BEBA..kuna pia xiaomi,vivo(kampuni mama ya oppo) ukikuta hizi wewe zama mfukoni mkuuNaomba kujuzwa ubora na uimara wa simu za oppo.. muhimu sana..