Wauza smartphone tukutane hapa

Nina samsung galaxy s5. Saketi tu ndo mbovu. Kwa anaeitaka kwa manufaa ya body na display anaweza nicheck kwa 0658190978. 0763976109.
 
Mzgo huo apo Oppo A37 Tshs 250000 Imetumika mwezi Mmoja TU.
Ram 2GB
Internal 16 GB
Camera 8MP
+Black Back Cover
 
Habari.
Wakuu bado nnayo hiyo simu tajwa hapo juu.
Sifa zake:
1 kioo ni inch 6"
2 home button finger print authentication.
3.32 GB internal storage.
4.16 megapixel back camera/ 8 megapixel front cam.
5. 2 nano SIM cards
6. Gold in colour
7. 4000 MhA non removable battery.
8. Support fast charging.
9. Running 6.0.1 marshmallow / upgradable to new version
Na mengine mengi mazuri.
Utaratibu wa biashara ni kwamba ukiwa umevutiwa nayo na upo tayari kulipia, basi utaukagua kadiri utakavyoona umeridhika kisha biashara itafanyika.
Bei imepungua kidogo mpaka 550,000/- (non negotiable)
Mawasiliano:
0716403314
0765982838
Ya' all welcome.

Sent using Samsung galaxy A9 ⑥
 
Huawei P9
RAM 4 GB
Internal 64 GB
Camera inatoa clear kama iphone
Haina shida za battery, charge inakaa muda mrefu.
Sababu ya kuuzwa ni ninamiliki simu mbili, nataka kubaki na moja.
Ninahitaji 370k ila sisi wote ndugu, maongezi yapo.
Mahali ni jiji la naibu raisi
Mawasiliano PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…