Wauza smartphone tukutane hapa

iphone 6s 64gb nzuri kabisa inauzwa 550k njoo inbox kwa mawasiliano 0745941312
 
Wazee, kwa mhitaji wa Itel T12 wiki mbili kiganjani na katika hali nzuri kabisa inauzwa kutokana na dharura. Dsm

Mwenye hitaji na ubora wa bei nafuu kulingana na urefu wa kamba ya mhusika anicheki inbox kwa ajili ya maelezo ya ziada na picha kama atahitaji. 90k haishuki hii labda kuongezeka kidogo kama bakhshishi ya kukuuzia kitu kizuri kwa bei ya kindugu kabisa.
 
Samsung Galaxy s8 plus Full Accessories (64 gb).

Color Black and Gold
Memory 64 gb
Ram 6 gb
Camera 12 mp
Networks 4G LTE
Price 950,000/-

Location Ilala/Agrey St Kariakoo

Contacts 0652332255
 

Attachments

  • IMG-20180909-WA0010.jpg
    26.1 KB · Views: 44
NAHITAJI NOKIA C5 OR E52 MWENYE NAYO ANICHEKI KWA 0716038710
 
techno wx3 ,safi kabisa android 7, internal 8gb na 1 gb ram...kwa 95000 tu location ukonga dar es salaam ,0625522261
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…