mukulupapaa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 2,930
- 1,733
bidhaa zimeisha wakuu😎😎
Kama una s4 mpya lite nikupe 350k faster!
Hallow wana JF,
Mimi mkononi nina Samsung grand duos, yenyewe inataka 270,000. Ipo katika hali nzuri kabisa.
Nichek kupitia 0714547830.
Wewe unauza simu gani?
Galaxy original s4 ambayo sio mini na inatumia 4g unaniuzia sh ngap? Nahitaj hiyo cm
Nauza Lg g2 200,000/= iko poa.