Wauza smartphone tukutane hapa

Anae taka IPO HTC 7 trophy windows phone 8.1 Ina kila kitu chake
. nicheki 0772964187
 
Nahitaji Elephone P7000 fasta
  • kwa sasa elephone p7000 iko kwenye "Pre Sale"
ILA kuna elephone P5000, naona ni bora zaidi upande wa battery ukilinganisha na P7000, Hii simu pia mbadala ya LENOVO P780 - (Simu iliyowahikushika record ya dunia kukaa na chaji kwa muda mrefu zaidi)

Nitakuagizia(kama utahitaji) Elephone P5000 kwa USD 222 hii ikiwa ni pamoja na shipping cost kwa DHL, hivyotegemea kuipata ndani ya siku saba (7)

NB: Kwa mdau yeyote anayehitaji kuagiziwa simu toka nnje ya nchi anaweza kuwasilina nami whatsapp #255 784 496 856 KARIBU
 

Nahitaji iphone 6 plus 64GB silver ntapata kwa bei gani ikiwa mpya?
 
Nahitaji iphone 6 plus 64GB silver ntapata kwa bei gani ikiwa mpya?
  • Ingia ebay au online store yeyote
  • Kisha nipe link ya simu uitakayo.
  • Nitafanya taaratibu zote za malipo na tracking number nitakupa.
  • KARIBU
 
Nauza HTC incredible s 710...
Price: 140,000/(fixed)..
Kwa picha zaidi whatsapp number : 0716 403 314..
Nipo zanzibar.
 
Nina blackberry bold 9900 .bei 150,000 muhuitaji anicheki via 0764812912
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…