Wauza smartphone tukutane hapa

Samsung J4 Gb32 ya 2018
Kwa anayehitaji njoo pm fasta bei ni 260k tu
 
**INAUZWA**
SONY EXPERIA Z3
Display 5'2 | ram 3gb
Network 4G | Storage 32gb
Camera 20.7mp LED Flash
Ina Grove mode
(una touch hata kama Umevaa groves)
Battery 3100mAh

Price 220kView attachment 966787
Huu utaratibu wa kutuwekea picha za ku-download google sio mzuri. Weka picha halisi ya simu yako. Wahofia nini kuweka picha halisi? Au unauza CLONE?

Picha yako umeitoa kwenye link ifuatayo:
[XPERIA][4.4.4] Sony Xperia Z3 FOR A310 & Clone Devices [Beauty+Power+Battery]
 
Acha utapeli, tukutane kwenye thread yako hii uliyoikimbia baada ya kuombwa uthibitisho wa bidhaa yako.

Sony experia Z3 for sale - JamiiForums
Nahisi unatafuta wa kuku**la mimi sideal na watu wa hivyo maana umening'ang'ania mpaka najiuliza kwenye hii biashara yangu kuna sehemu nimekutag au wewe tu na muwasho wako unakusumbua.... Plz hii mara ya mwisho nakujibu sideal na watu wa hivyo.... Hiv ukinyamaza utapungukiwa na chochote plz jieshimu mkuu sijataka nijibu hivi ila nimekujibu ili ulizike

Nb:
Sony Experia Z3 nimeshauza.
 
Matapeli wote ndio huwa hivyo hapa jf. Ukiwabana vema hutukana, na mwisho hujificha kwenye chaka kuwa simu imeshauzwa ili kuepuka hitajio la kuweka picha halisi ya bidhaa. Nashukuru nimewaokoa waliotaka kutapeliwa. Na bila shaka hutorejea kamchezo hako tena.
 
Mwenye samsung galaxy s6 ilopasuka kioo kwa maana circuit nzima lakin model iwe G920f tucheckiane pm tufanye biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…