Wauza smartphone tukutane hapa

Brand: Samsung
Model: J4 plus (J415)
Make : september 2018 toleo Jipya
Duos, 2g, 3g, 4g LTE

Imetumika wiki mbili
Android version 8.0.1 Oreo
2GB Ram
32 GB Rom expendable via Micro USB
Face Unlock
Smart Lock

Snapdragon Processor
Back Camera 16 Megapixel
F1.9

Battery 3300 Mah

Nauza laki 350 tu. Risti yake ipo. Dukani inauzwa laki 450, ina glass protector unapewa bure na back cover bure. Bei haipungui.

Simu haina tatizo nakupa na Warrant juu. Na receipt yake. Serious buyers only.

 
Weng humu ni matapeli tu. nina shida na simu techno j8 au samsung galax na kuanzia gb 16 na kuendelea kwa 160. kama upo serious kweli na weka namba ya simu. kama ukijifanya kuonyesha utapeli utajuta kuzaliwa.
 
Wazee ninauza tekno y3 bei chee tu iko safi na imetunzwa vizur
Sh.70,000 maongezi yapo
No hiyo apo 0657438581 watsapp au piga nipo dar
 

Attachments

  • 20181221_194401.jpeg
    69.6 KB · Views: 32
IPO j8.iko vzr sana haina tatizo lolote
Weng humu ni matapeli tu. nina shida na simu techno j8 au samsung galax na kuanzia gb 16 na kuendelea kwa 160. kama upo serious kweli na weka namba ya simu. kama ukijifanya kuonyesha utapeli utajuta kuzaliwa.
 
Simu inauzwa Huawei y530 bei maelewano.. Ina crack kwenye screen but inpiga kazi Contacts 0629147489
 
Xiaomi mi max, gb 128, ram g 4gb, camera 16 kwa 5, betri 4850 mAh, display ni 6.44 inch, nataka laki 4, simu imetumika miezi 4 tu, nicheck 0714495367, na 0768859089, au 069294009, niko dar kitunda relini
Kwa picha zaidi nichek 0714495367 whasap
 
Pia ipo OPPO R9 Plusm A, nayo inataka laki 4, uwezo wake ni internal 64 gb, ram 4gb, camera ni 16 kwa 16, betri 4150 mAh, simu zote ziko poa na zinakaa na charge siku nzima ukiwa online, nicheki 0714495367 kwa picha whasap, maana kila nikiapload zinagoma
 
S7 edge kwa laki 380 tuu inacreak inatumika bila tatizo lolote offer offer ya weekend hio location ilala
 
Xiaomi Mi max, kwa laki 4, 128 gb, ram 4gb, betri 4850 mAh, internet 4g, back cam 16 mp, font cam 5 mp, display inch 6.44, inakaa na charge sana kwa wanaozijua xiaomi wanafahamu, bei laki 4, niko dar, simu 0714495367, 0768859089, 0692940091, niko dar, ukonga banana
 

Attachments

  • IMG-20181013-WA0002.jpeg
    38.8 KB · Views: 38
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…