Tomaa Mireni
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 2,395
- 2,391
tecno c9
haina tatizo lolote
nzuri sana
bei ni 160000
ipo dsm
pm kama unaitaji
Kuna 100k hapa nichek 0625547181
Hahaha nimeipenda hii.mia nakupa itel nzuri inakaa na chaj week,unapata whatsapp,viber,badoo,tango kila kitu ipo fresh
Ukiagiza aliexpress unapata s2 redmi au remi 6 ila hii ina Chipset ya MTK Mtumie huyu mkuu anaitwa Mwl Rct au msauziy
mia nakupa itel nzuri inakaa na chaj week,unapata whatsapp,viber,badoo,tango kila kitu ipo fresh
Mkuu unaangalia in details, acha hizo. Imebidi nishushe uzi chini ili nione details unazosema, kweli huyu sijui wa kike au wa kiumeHizo kucha zinanitisha...
Njoo nijupe huawei y300 kwa hiyo beiAya jamani nina 50,000/= utanipa simu gani inayosapot whatsapp,instagram,viber pia iwe na 3G
Napatikana dar es salaam
[emoji28][emoji28] sifa za simu 2010
Niongeze ngapi iyo c9
picha mkuu
GoodHallow wana JF, weka picha, mahali ulipo, contact zako na specifications za device yako.
120,000 nakupa kama inalipa nichek hewaniongeza 50
120,000 nakupa kama inalipa nichek hewani
ongeza ela ubebe sim
Samsung J3 (2016)
16gb
Ram2
LTE (4g)
Gold in colour
# 0757007398
Location kimaraView attachment 983972View attachment 983973
Sent using Jamii Forums mobile app