Wauza smartphone tukutane hapa

Nahitaji iPhone 6, kwa mwenyenayo tuwasiliane 0685319880
 
Nna Sony Xperia z bado ipo kwnye upya na nmetumia miez.4 tu mwnye kuhtaji anichek
 
nahitaji SAMSUNG GALAXY A3 model 300F ambaye anauza anipm na bei tafadhali
 
Original samsung S4 iko vizur tsh 360,000.....0762470190
 
Nina huawei y 530 bei 120000 na inapungua imetumika miezi minne tu bado iko kwenye hali nzuri.
 
SAMSUNG S6 EDGE. new inbox 32GB. Darkbluee in colour ipo skon kama unahitaj call me 0765024294 au 0658250948
 
Nahitaji iphone6 kwa mwenye nayo tuwasiliane 0755 02 74 50
Iphone 6s from Uk,32gb iko kwenye good conditions kama unavyoiona hapo,call me ukiihitaji 0767242454
 

Attachments

  • 1445025040891.jpg
    28.7 KB · Views: 216
  • 1445025058120.jpg
    35 KB · Views: 205
Hallow wana JF, weka picha,mahali ulipo,contact zako na specifications za device yako

Haya sasa chombo hiyo hapo kama unavyoiona GALAXY NOTE 4 iko na hali nzuri sana,ukiihitaji call me 0715242454,0767242454
 

Attachments

  • 1445025474992.jpg
    40.7 KB · Views: 196
  • 1445025502779.jpg
    44.4 KB · Views: 196
nauza laini ya tigo pesa airtelmoney na vodacom kwa mawasiliano 0784608037 simu yangu sio ya smart phone nipigie tuelewane nipo dsm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…