Wauza smartphone tukutane hapa

Nauza Infinix hot 6X. Simu bado mpya. RAM yake ni 3GB
STORAGE 32 GB
Bei nauza 270000. View attachment 1029800

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu picha za Google hizi unaweza kukosana na wateja! Anyway, ningependa kufahamu yafuatayo. According GSMArena:-

Size: 6.2 inches, 96.7 cm2
SIM: Dual SIM
OS: Android 8.1 (Oreo)

Je, ya kwako hizo ndo specs zake, au kuna tofauti?

Addition question, condition yake ipo vp na accessories zipi ambazo bado inazo (charger, airphone...)

NB: Ukiona nauliza yote, it means ni serious buyer provided tunakubaliana bei manake na hiyo 270K sio jambo dogo!!
 
View attachment 1027139
Jipatie Nokia 3310 full box .... full accesories .. full box
Kwa Tsh. 95000/=
Location Dar


Sent from my iPhone using JamiiForums
Naomba nikuulize swali, flip phone yenye 3G naweza nikaipata? Na bei zake zikoje japo simu hizi ni za miaka ya nyuma kidogo.

Mifano ya simu hizo
 

Attachments

  • flip-phone-3-0-inch-Double-dual-Screen-Dual-SIM-touch-screen-MP3-MP4-FM-vibrate.jpg_640x640.jpeg
    25 KB · Views: 41
Ingependeza zaidi kama ungeweka full specs, and photo ofcoz
Samsung Grand Prime Pro 2018
Yenye Kioo cha SuperAmoled touchscreen
Full boxed
5 Inch Display
Processor 1.4GHz
GPU Snapdragon 425 Soc
8MP Rear Camera + Flash
5MP Front Camera + Flash
1.5GB Ram
16GB Rom
2600mAh Battery
Inakuja na
Cover 2(Bure) za Ulinzi wa Nje
Protector Yake(Bure) kwa ajili ya Screen
Pamoja na risiti
Kwa kiasi kidogo cha tzs 270,000/-
Contact +255713445299
Mikoani tunatuma


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • %24_86.JPG
    69.4 KB · Views: 28
  • %24_86.JPG
    69.4 KB · Views: 31
Wakuu Nina laki na Nusu 150,000 nahitaji simu used ila iwe katika Hali nzuri nA isiwe imetumika Sana au mbovu .
NB Nipo songea ikiwa Samsung itapendeza zaidi
Nicheki pm kama unayo
Ipo j8 kwa 130k

kote hakufai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…