Wauza smartphone tukutane hapa

Hiv hiz refurbished phones unazijuaje? Chukulia mfano simu za samsung
zile zote unazoziona na kijistica kwa pembeni/ubavuni(SIO ZILE IMEI NYUMA) ni refub(hizi stika zinawekwa simu ikishafanyiwa refub na kwa wenzetu huko mbele muuzaji ukiondoa ni kesi),
kwa ufupi kwa nje ni ngumu kama wakiamua kukiondoa,

vile vile ukiona simu yyt inauzwa haipo sealed hapa haina kujiulizaa, either ni carrier unlocked, mtumba au refub,
mara nying pia hazina info kwa nyuma mfn model, imei n.k,

njia ya uhakika japo hii sasa ni ngumu mwenye duka kukuruhusu ni ku downloada app inaitwa genuine galaxy halaf ukisha i lunch pale juu kushoto uta tap icon yenye vidoti vitatu halaf kuna sehem wamekuandikia 'refublishment check' tap kama haijafanyiwa refub watakuandikia 'congraturation your phone is originala' kama ni refub watakuandikia 'it looks like your phone is refub' ikikuandikia hivyo haina cha it looks wala nn ujue ngoma dirrect ni refub, na isipokuletea chochote kati ya hivyo ujue ni famba kbsaa,

kwa ufupi kama sio mjanja sio rahisi kujua km ulivyoambiwa hapo juu, Ni ngumu hasa km ni factory refub
 
Hii ni kwa simu zote au samsung tuu?? Na vp kuhusu iphone??
 
Ahsante mkuu
 
Nahitaj sim
Brand samsung
Price 200k
Njoo pm tufanye busnis

Sent using boeing 737 max8
 
Samsung A7
Ram 3gb internal 32gb
Fingerprit clean ina 4g Android 8.1
Top price 300
No 0746510477 nicheki kwa uwakika
Location Mbeya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…