kibokoyamabishoo
Member
- Nov 8, 2016
- 40
- 21
Duuh 6s plus laki 8??iPhone 6s Plus
iOS 12.2
64Gb
Cm haijamaliza hata mwezi
Nashida
Nipeni 800k
[emoji625]Tabata
Call 0782688865
View attachment 1095149View attachment 1095150View attachment 1095151View attachment 1095152View attachment 1095154
Duuh 6s plus laki 8??[/QUOTE
Unashangaa nn mkuu au huzijui bei za iPhone?
Ana shida[emoji16]Duuh 6s plus laki 8??
So kidogo...Ana shida[emoji16]
Wadau nauliza kama kuna usalama wa kununua simu kwa njia hii ya mtandao hasa katika kipindi hiki cha cybercrime?
Tatizo ni pale unaponunua simu kumbe ni ya wizi, unakuta mtu aliikwapua sehemu afu akaja kuuza huku. Watu wa cybercrime wanaweza kukutafuta na kukukamata.Unawasiliana na muuzaji mnakutana unaona bidhaa ukiridhika nayo mnakubaliana bei
So kidogo...
So kidogo...
Exchange?Samsung A7 2017
Clean condition as New
400k Fixed
0785064353View attachment 1096171View attachment 1096172
Cash only!Exchange?
Nipo nina Oppo A7.Mwenye oppo au vivo (duos) ya biashara yoyote areply hapa.
Mkuu ninayo infinixNATAFUTA SMRT INAYOKAA NA CHAJI MUDA MREFU
full box?GOOGLE PIXEL PLAIN USED 2 MONTHS ONLY IN MINT CONDITION HAINA SHIDA YOYOTE
Ram 4 gb. ,, Internal 32 gb. ,,. 12.3 megapixel camera supporting HDR , portrait mode camera , 4k videos , night sight camera( HII NI MIND BLOWING ) , slow mo video, timelapse , playground camera , , . Inshort ina camera nzuri kuliko iphone 7 na yote hii ni kwa single camera ina fingerprint scanner nzima kabisa ,. Android 9.0. ,, Charge usb type C , tofauti na android za kawaida ,, ni simu nzuri sana nitafute ujionee mwenyewe. Kwa bei ya 380,000 nipo Sinza piga au text number 0682521021,,,,nitext whatsapp kwa sample za pic nilizopiga na simu hii ujionee...