Dah.. Tutake radhi watumiaj wa tekno mkuuAsante Mkuu..natafuta MI 5 kwa sababu haina on screen navigation keys,sipendi simu zenye on screen navigation keys kwa sababu zinakuwa hazina tofauti na TECNO kimuonekano.
Duh samahanini watumiaje wa TECNO,japo sikuwa na maana kuwa TECNO ni simu mbaya..sivutiwagi tu ile kuwa na simu ukipanda gari kila mtu anayo.Dah.. Tutake radhi watumiaj wa tekno mkuu
brand new sansung A30 for sale
PERFORMANCEOcta core
DISPLAY6.4" (16.26 cm)
STORAGE. 64 GB
CAMERA16 MP + 5 MP
BATTERY. 4000 mAh
RAM. 4GB
bei 500,000tsh
ni mpya na ina warranty
no 0738929307View attachment 1122439
Tubadilishane na iphone 5s ina miez 4 na siku kadhaa
Bajeti yako ngapi? nikupe koneksheni ya Mi 5sHellow..natafuta simu aina ya Xiaomi Mi 5.
Mkuu hi ni MI 5S..mimi nilihitaji MI 5 ambayo physical home button yake unaweza ukabonyeza tofauti na hii una touch,n way hii inaendaje?Bajeti yako ngapi? nikupe koneksheni ya Mi 5sView attachment 1122486View attachment 1122488View attachment 1122489
Okay, bei yake ni laki sita.Mkuu hi ni MI 5S..mimi nilihitaji MI 5 ambayo physical home button yake unaweza ukabonyeza tofauti na hii una touch,n way hii inaendaje?
OK Mkuu..ngoja nisubirie subirie wadau ikigoma nitafikiria hiyo Mi 5s.Okay, bei yake ni laki sita.
S7 edge OG mtumba iliyo kwenye hal nzur au mpya kwa bei poa.......... Inahitajika
... Nchek 0718 321418
SpecsSpecs